GET /api/v0.1/hansard/entries/1425757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425757,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425757/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": ".Sen. Tabitha Mutinda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ninayo wakilisha ni ya Eastern hasa ikiongozwa na Kaunti ya Makueni ambapo tuna upanzi mkubwa wa kahawa. Utakubaliana na Bunge hili la Seneti kuwa kilimo cha kahawa ni kipaombele cha uchumi wa nchi hii. Ni mipangilio ipi ambayo Wizara yako inafanya kuhakikisha kuwa wakulima wote wa kahawa wanapokea mbolea spesheli ya ruzuku? Asante."
}