GET /api/v0.1/hansard/entries/1425774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425774,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425774/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Sawa. Bw. Waziri, swali langu linahusu viwanda ambayvo hapo mbeleni vilikuwa vinamilikiwa na Serikali Kuu nikiashiria kiwanda cha Kenya Bixa Limited pale Kwale and Kenya Meat Commission (KMC) pale Kibarani, Mombasa County. Katika maelezo yako, nimesikia ya kwamba sasa KMC imekuwa parastatal inayopata faida. Serikali iliyo ondoka, ilichukua KMC Kibarani na wakaipeana kwa Kenya Defense Forces (KDF). Hivi sasa, kile ambacho watu wa Mombasa wanapata kutoka kwa kiwanda kile ni kununua nyama pekee. Kama Wizara, mna mipango gani ya kuondoa lile deni linalodaiwa na kampuni ya Bixa na pia KMC Kibarani, Mombasa County, ili vijana wetu waweze kupata ajira? Pia, tunataka kujua iwapo kuna jitihada zozote ambazo Wizara imeweka ili kuweza kuiregesha KMC kwa raia ili isiwe tu tunanunua nyama bali pia zile ajira zinarudi kwetu. Nadhani umeona kumekuwa na malumbano kuhusiana na watoto wetu kula"
}