GET /api/v0.1/hansard/entries/1425776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425776/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Imani yangu kubwa sio kwa sababu eti muguka ni mihadarati, naamini watoto wetu wanakula muguka kwa sababu hawana ajira. Hivyo basi, naomba Wizara yako iweze kuweka bayana mipango ya kuweza ku offset madeni ambayo yako kwenye kiwanda cha Bixa, Kwale na, ikiwa KMC Mombasa inaweza kuregeshwa ili iweze kudhibitiwa tena na raia ili watoto wetu wapate ajira. Wawache kula muguka kuanzia asubuhi hadi jioni. Wanaweza kula muguka jioni peke yake kama starehe."
}