GET /api/v0.1/hansard/entries/1425815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425815/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mithika Linturi",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
"speaker": {
"id": 69,
"legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
"slug": "franklin-linturi"
},
"content": " Bi. Spika wa muda, ninafahamu kuwa kuna hitilafu kidogo kuhusu pembejeo ya top dressing nchini. Ninajaribu kuhakikisha shida hii nimeimaliza. Lazima ukweli ujulikane. Mambo si rahisi kama vile viongozi wangeweza kufikiria. Tungekuwa na fedha, hatungekuwa na shida ya watu kupewa pembejeo kuweka kwenye maghala yao kama kungekuwa na pesa ya kununua in advance pembejeo hii. Hitilafu hii iliyoko kwa sasa, tunataka kuimaliza by the end of the week. Hatukuwa na pesa na wale suppliers wa pembejeo hii, walianza kasheshe. People have tobe responsible. Inafaa tuelewe kuwa mambo tunayoongea iko na effects. Supliers hawa walishtuka na wakakataa kupeana fertilizer yao. Katika mpangilio wa ununuzi wa bidhaa nchini, huwezi kulipa mtu kabla ya kufanya delivery . Tukilipa kabla ya kupata bidhaa ni suala lingine ambalo litaleta shida zaidi. Sijui hoja ya impeachment itakuwa ngapi tukielekea upande huu. Tumeongea na suppliers wetu na wakaelewa vile mambo yalivyo. Wizara ya Fedha ikaelewa kuwa lazima wakulima wapewe pembejeo ya top dressing haraka iwezekanavyo. Mhe. Rais aliingilia kati kwa sababu ya passion and support ya mambo ya ukulima. Ningependa kutangaza kuwa hii problem tutamalizana nayo. Nimepata shilingi 3 asubuhi kabla ya kufika hapa ya kuhakikisha suppliers wa pembejeo wamelipwa. Tulikuwa na madeni na suppliers walikataa kuleta pembejeo. Nikitoka hapa tutaweka mikakati haraka ili suppliers wapate pesa ili fertilizer ianze kufikia wakulima haraka iwezekanavyo."
}