GET /api/v0.1/hansard/entries/1425820/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425820,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425820/?format=api",
    "text_counter": 174,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Je, hiyo ni njama ya Serikali ya Kenya kutuweka sisi nje ama pia sisi tuna haki ya kupewa fidia ya ng’ombe, mbuzi na ngamia tulizopoteza? Kuna AFC ambayo imewapa watu wa kwetu mikopo. Hiyo mikopo imepeanwa kwa sababu kulipokuwa na kiangazi 2019/2020 na 2022/2023 ng’ombe, ngamia na mbuzi walikufa sana. Nilipata nafasi ya kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa AFC ili watu wetu wasisumbuliwe sana kulipa hayo madeni. Ningependa Bw. Waziri atueleze ni msaada gani atawapa watu wa Marsabit ama"
}