GET /api/v0.1/hansard/entries/1425822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425822,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425822/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "na Upper Eastern kwa jumla kutokana na madeni ya AFC ili Serikali iwasaidie kulipa. Ikiwa Serikali haitawasaidia, je, wanaweze kupewa muda Zaidi wa kulipa madeni hayo? Kuna wakulima kutoka Marsabit ambao wanatumiwa madalali. Wiki iliyopita, dalali anayeitwa J. K. Wanderi alienda kuuza ng’ombe na mbuzi wa wakulima wetu waliokuwa wamebaki. Naomba Bw. Waziri atusaidie ili wakulima wetu wasisumbuliwe na madalali. Swali la pili na la mwisho ni hili. Kuna funding ambayo inaletwa na wahisani---"
}