GET /api/v0.1/hansard/entries/1425828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1425828,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425828/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna wahisani ambao wamekuja Marsabit na Turkana. Shirika moja linaitwa Drought Resilience Programme in Northern Kenya (DRPNK) ambalo ni la Kijerumani. La pili ni Kenya Livestock Commercialisation Project (KeLCoP) na la tatu ni Food Systems Resilience Programme (FSRP). Ningependa Bw. Waziri ajue kuwa pesa zote za donor funding zilitolewa. Hata hivyo, miaka mitatu sasa ilhali hakuna maendeleo yoyote yamefanyika katika maeneo yetu. Pesa zote zilienda kwa mishahara ya Wazungu na nauli yao kwenda Marekani, Uropa na Mombasa. Vile vile walinunua magari makubwa makubwa. Mishahara na marupurupu wanayolipwa ilichangia pesa hiyo kuisha. Je, Bw. Waziri utachukua hatua gani kuhakikisha Wazungu---"
}