GET /api/v0.1/hansard/entries/1425831/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425831,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425831/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Wazungu wanaleta misaada kwetu lakini inarudi tena kama mishahara, marupurupu na vitu vingine. Bw. Waziri atafanya nini kuhakikisha kuwa angalau asilimia 80 au 90 za pesa zinazoletwa kusaidia inaenda kwa wananchi wa Kenya?"
}