GET /api/v0.1/hansard/entries/1426485/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1426485,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426485/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika. Naunga mkono ile timu tuliyoichagua iende ikatutetee. Walifanya kazi nzuri ingawaje hizo pesa hazitatosha. Naomba magavana wa kaunti zote 47 wafanye kazi inavyofaa. Kazi watakayofanya itatusaidia. Pia nakosoa Members of Parliament (MPs). Kazi ya kuangalia magavana wanavyofanya kazi ni ya maseneta wala sio ya wabunge wa Bunge la Kitaifa. Naunga mkono Serikali iweze kutupa pesa ambazo zitatuwezesha kuangalia vile ugatuzi unafanya kazi mashinani. Kwa hiyo, naunga mkono kwamba tunafaa kuongezewa pesa nyingi wakati mwengine ili ugatuzi uonekane mashinani."
}