GET /api/v0.1/hansard/entries/1426881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1426881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426881/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Mabadiliko wa Sheria ya IEBC. Ni masikitiko kwamba zaidi ya mwaka mmoja, hatujakuwa na tume ya uchaguzi katika nchi yetu. Mswada huu utasaidia pakubwa kuweka tume ofisini ili iweze kufanya kura katika maeneo Bunge kadhaa na pia maeneo ya wadi ambayo hayana wawakilishi kwa sasa. Jambo la msingi ni kwamba wale ambao watachaguliwa kwanza kwa lile jopo la The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}