GET /api/v0.1/hansard/entries/1426882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1426882,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426882/?format=api",
    "text_counter": 173,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kuchaguana na pia wale makimishina watakochaguliwa, wanafaa wawe watu wa tajiriba na wenye ukweli na kusimamia haki. Hii ni kwa sababu kutoka tuanze kupiga kura, mahali panaleta shida sana ni kwa tume ya uchaguzi wa kura. Hii ni kutoka tulipoanza kura za kwanza ya vyama vingi mwaka 1992 mpaka 2002, tulipopata kura ya kwanza ambayo ilikuwa haina shaka. Bi. Spika wa Muda, tumeona zile kura zilizofata baadae zikiwa na shida hata kwenda mahakamani. Kwa upande mwingine, mahakama pia zimeleta hukumu zingine hazieleweki."
}