GET /api/v0.1/hansard/entries/1427039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1427039,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1427039/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kukaribisha wanafunzi wa shule ya upili ya Karambari. Wamekuja kutembea kujifunza yale tunayofanya hapa Seneti. Nawakaribisha hapa Seneti. Hapa Seneti tumejifunza kuongea vile hili ‘Jumba la Juu’ linaongea mambo ya serikali za kaunti na vile pesa zinaenda huko kaunti. Pia, wakipata hizo pesa, vile serikali za kaunti zinafanya kazi kule mashinani kama mahospitalini, kwa kilimo, kwa elimu na pia mambo mengine. Niniwahakikishia ya kwamba, wakijifunza vizuri na wakisikiza yale mambo wanayofunzwa huko shuleni, pia wao watakua viongozi wa kesho. Watakua maseneta na magavana pia wakitii sheria inayotakikana. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}