GET /api/v0.1/hansard/entries/1427040/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1427040,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1427040/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, kule hii shule imetoka, hakuna maji na stima na ningeomba Serikali ya Kenya Kwanza iangalie shule kama hizo ndio zifunzwe kama zile shule zingine za nchi hii yetu. Wakirudi Embu, waseme wanawakilishwa vizuri na Seneta wao wa kaunti ya Embu."
}