GET /api/v0.1/hansard/entries/1427245/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1427245,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1427245/?format=api",
"text_counter": 323,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ile ya kwamba eti wewe lipa kwa hii Paybill halafu sasa utakuwa umekwishalipa. Lakini, hiyo pesa haziendi kwa account ya CRF ama Inuka Fund . Kile wanachotaka kufanya kwa hii account ya Inuka Fund ni wizi tu wa kimabavu. Sio system ambayo inatumika Kaunti ya Tana River peke yake. Nimekwishaelezea ya kwamba katika Kaunti ya Tana River, wananchi wanapeleka pesa zao kwa Paybill Numbers na zinaibwa kwa sababu hazifiki akaunti ya CRF. Mpaka leo, ukiangalia pesa ambazo Tana River County wameandikisha kwamba wamekusanya kutoka kwa watu wetu kama ushuru wa moja kwa moja ni kiwango cha chini. Kawaida, tunawekwa nambari ya mwisho au ya pili kutoka mwisho. Watu wetu wanalipa ushuru. Watu wakifanya biashara ya ng’ombe, wakiuza dukani, wakikata leseni za mwaka na kufanya biashara zao, wanatoa pesa. Lakini, hizi pesa hazifiki kwa akaunti ya CRF kwa sababu hapa katikati kuna mashimo na wizi unaofanyika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}