GET /api/v0.1/hansard/entries/1427250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1427250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1427250/?format=api",
    "text_counter": 328,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kuna pesa ambazo kaunti zingekuwa zinapata lakini hazifiki kwani hawataki kununua automated systems. Mswada tunaopitishwa leo unasema kuwa ripoti ya pesa kutoka kwa wananchi lazima ziende kwa County Assembly. Bunge la Gatuzi linafaa lipate ripoti ya pesa ambazo zimekusanywa. Pia Seneti na Serikali Kuu zinapata ripoti ya pesa zilizokusanywa kupitia National Treasury. Uwazi ni muhimu sana. Tukiwa na uwazi tutapunguza wizi. Maovu yote yanafanyika kukiingia giza. Giza ikiingia mambo machafu yanafanyika. Lakini ukiweka taa katika giza, watu wanaogopa kufanya udhalimu ama uchafu wanaofanya kwa upande wa fedha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}