GET /api/v0.1/hansard/entries/1427252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1427252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1427252/?format=api",
"text_counter": 330,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mimi ninakumbuka wakati wa Mhe. Rais Barrack Obama, mawaziri wengine walisema sisi hatutaki kuandikwa kwa muhula wako wa pili kwa sababu tunataka kwenda kufanya biashara tupate pesa. Kama unafanya kazi ya Serikali, kaa kama mtu wa Serikali."
}