GET /api/v0.1/hansard/entries/1432899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1432899,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1432899/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Hata kama ninaunga mkono waongezewe mapeni, nina wasiwasi kuwa watoto wetu wanahangaika sana kupata pasipoti hasa ndani ya Kaunti ya Mombasa. Pasipoti nyingi walizo apply bado hazijafika mpaka sasa. Kwa hivyo, naiomba Idara ya Uhamihaji ihakikishe kuwa huduma kwa Wakenya inakuja kwa ukamilifu na kwa wakati. Ahsante sana. Mhe. Mwenyekiti wa Muda."
}