GET /api/v0.1/hansard/entries/1437295/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1437295,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1437295/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "Asante Bw. Spika, kwa kunipatia hii fursa. Naomba niweze kuungana na wenzangu katika kupongeza Bunge hili la Seneti kwa sababu ya kazi nzuri ambayo imefanyika mwaka huu. Magatuzi zetu hazina vikwazo kwa sababu tumeshawapatia pesa ambazo zitawezesha magavana kufanya kazi wanayostahili kufanya ili wananchi wa kaunti tofauti tofauti waweze kupata manufaa. Katika Kaunti ya Lamu, tumepata mgao wa zaidi ya Shilingi 300 milioni ambazo zitawezesha Kaunti ya Lamu kupata maendeleo. Tunapoongea sasa, Gavana wa Kaunti ya Lamu hana sababu ya kutoweza ku-equip hospitali zetu na madawa ya kutosha. Ukienda katika ECDE classes ambazo kwa muda mrefu katika Kaunti ya Lamu zimekuwa katika hali ambayo sio nzuri, hakuna tena sababu ya kuendelea kuwa katika The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}