GET /api/v0.1/hansard/entries/1437296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1437296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1437296/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "hali tata. Tukiingia katika maswala ya kilimo ambayo ni kitega uchumi cha wakaazi wengi wa Kaunti ya Lamu, kama Seneta wa sehemu hiyo, ningependa kuona ya kwamba kilimo kimeimarishwa kwa sababu pesa za kutosha zimeenda katika gatuzi hili la Lamu na sasa tunatarajia kuona mambo makubwa, manufaa na maendeleo ya watu wa Kaunti ya Lamu. Naunga mkono Mswada huu na kusema kuwa umekuja kwa wakati unaofaa na sasa ni wakati wa kuwafanyia wananchi wetu kazi. Asante."
}