GET /api/v0.1/hansard/entries/1438889/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1438889,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1438889/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Ningependa kuwaeleza Wabunge wenzangu kuwa mambo yanayotendeka sio ya kucheka, maana tunajua majukumu ya Naibu wa Rais. Leo ukifanyiwa hivo, tutakutetea pia. Kuna pesa ambazo zimetengwa kwa hayo malengo kwenye Bajeti Kuu. Tumemuona Naibu wa Rais akilalamika mara kwa mara kuwa ndege imemuacha, au ameambiwa hiki ama kile kimetendeka. Kuna shida katika taifa letu. Ninaomba Rais na Naibu wake wakae, na watatue shida iliyoko, maana Kenya ni yetu sote. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}