GET /api/v0.1/hansard/entries/1439446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1439446,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1439446/?format=api",
    "text_counter": 756,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ili nichangie hii mada ya Supplementary Budget. Nimeupitia huu Mswada kwa kina, na ingawa tunapitisha Bajeti kila mwaka, hatuoni pesa zinapokwenda. Nimekuwa na walimu juzi na licha ya Bajeti kuwatengea pesa za kustaafu, posho la kukaa, na ile nyongeza ya mshahara ya juzi, bado wanalia maana hazijawafikia. Siyo walimu tu wanaopitia hii shida bali wafanyikazi wa Serikali wengi kama wale wa Kenya Railways. Kila mwaka, pesa zinatengwa kwenye Bajeti kwa niaba yao bali hawazipati. Katika Kamati yangu ya"
}