GET /api/v0.1/hansard/entries/1439888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1439888,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1439888/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohamed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mheshimiwa Spika. Nami kama Mama Mombasa County ninawakaribisha rasmi watoto wangu wa shule ya Vishal Leshan. Ninawaambia kuwa wametuinua sana katika anga za Kenya; mmetuinua sana katika ramani ya Kenya kwa kutoa wanafunzi bora sana katika Kenya hii. Mmetoa madaktari na ufundi mwingi. Kwa hivyo, ninawaasa mzidi kushika kasi katika masomo. Kama ni wasichana, mcheze boli; msishike boli. Tujenge taifa pamoja na mfocus na masomo yenu."
}