GET /api/v0.1/hansard/entries/1439937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1439937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1439937/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. ZamZam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, katika marekebisho ya Sheria ya Watoto (Children Act) No.29 of 2022, napigia pondo ndugu yangu Mhe. Kaluma. Amesema watoto wamepewa ulinzi katika Katiba. Kama wamama, ni vizuri tujue kuwa mtoto anapotaka kuchukuliwa na mzazi mwingine, iwe ni kutoka katika familia ya mtoto. Mataifa ya nje yameweza kupitisha Mswada wa kununua watu. Watu watakuwa wananunuliwa kama peremende au maziwa dukani na hii inatupa wasiwasi. Huo Mswada umepita Marekani na tukitoa hiki The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}