GET /api/v0.1/hansard/entries/1440153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440153,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440153/?format=api",
    "text_counter": 369,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Nilikuwa ninaangalia katika Waraka huu ulioko hapa na ningependa kuungana na wenzangu kuwa kuna sehemu ambazo mpaka sasa, baada ya kupata uhuru, hasina barabara, maji, wala stima. Ningependa kuwaambia wenzangu ambao wanaoupinzani katika mgao huu, kwamba Kenya ni moja. Hata Garissa ikipata na kuweza kuundelea, na wewe waweza kutoka kule uliko na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}