GET /api/v0.1/hansard/entries/1440155/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1440155,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440155/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mahali kama Ganze na sehemu zinginezo za Pwani ambazo ziko nyuma sana, kwa maana hakuna barabara, maji wala mahospitali, kisha najiuliza, ikiwa hizi pesa zilibaki Ksh62 billion, katika akaunti, kisha ni akaunti ya nani na zafanya nini kule wakati wanainchi wanashida?"
}