GET /api/v0.1/hansard/entries/1440156/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1440156,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440156/?format=api",
"text_counter": 372,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Ni dhahiri kuwa Wabunge wenzangu waweze kukubali kuwa hizi pesa, hata mimi ningeweza kusisitiza kuwa ziingie kwa mikono za Wabunge wetu ili waweze kuingia kule sehemu ambazo zimetengwa na waweze kufanya maendeleo. Garissa na Tana River wakipata, na Kwale wakifanya maendeleo, hata mimi Mama Mombasa nitakuwa na wepesi wa kutembea zile sehemu ikiwa barabara iko sawa, kuna maji na maendeleo. Pia, mimi ninaweza kutoka nikaingia katika Kaunti zile nikafanya kazi. Kwa hayo, ninaunga mkono. Ahsante sana."
}