GET /api/v0.1/hansard/entries/1440355/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1440355,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440355/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Naunga mkono Mswada huu ambao mwenzangu ameleta wa kupatia watoto wa kike nafasi ya pili katika masomo. Wengi wa watoto wanaopewa nafasi ya pili wako na umri wa chini. Pengine walipata ujauzito kwa kunajisiwa au forced marriages. Inawezekana hawakuwa na uwezo. Kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}