GET /api/v0.1/hansard/entries/1440358/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440358,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440358/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ninachosema ni kuwa hii Bill inahitaji pesa. Ni lazima kuwe na mpango wa Serikali kuwekeza pesa za kuangalia sehemu za kulelea watoto ikiwa itataka watoto hao wapewe sehemu ya kulelea watoto shuleni. Kwa kifupi, naunga mtoto wa kike ama a young mother mkono ili arudishwe shuleni akiwa bado na tamaa ya elimu. Nimeweka hao young mothers pamoja kwa sababu hadi sasa hatuna sehemu za kuweka watoto wao shuleni. Nimewapa mradi na mtaji. Wanafanya biashara ili walee watoto wao huku wenzao wakisoma. Naunga mkono japo nina shtaka moja. Kuna Bill nilitoa na kupendekeza kitambo nikaiwasilisha kule kwenye ofisi ya kuweka Bills. Haijaja humu Bungeni hadi wa sasa. Yangu ilikuwa na sehemu nzuri nzuri walizokuwa wakiulizia. Nilijua hakika lazima hiyo itakuwa ni"
}