GET /api/v0.1/hansard/entries/1440360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1440360,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440360/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Itahitaji mapeni. Cha kusikitisha hata zaidi ni kuwa baadhi ya hao watoto wamepata ujauzito kwa kukosa sodo. Wapo ambao wamedanganywa kwa maandazi wakijua watapata mia moja ya kununua sodo ili waondoe aibu. Mara wanapata ujauzito!"
}