GET /api/v0.1/hansard/entries/1440361/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440361,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440361/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Nasikitika kwamba sodo zilizoahidiwa za Kaunti ya Mombasa hazijafika hadi sasa, licha ya kuwa Mama Kaunti najibidiisha kurejesha hao watoto shuleni. Nina wasiwasi mimba zitazidi kwa ukosefu wa sodo. Sisi tuko pamoja. Hata wewe, Bi. Naibu Spika, ni mama wa kaunti na umeona vile tunalalamika. Kwa wale wamepewa nafasi ya kutuletea sodo katika kaunti zetu, tunaomba wazilete ili tuzipeane kwa watoto."
}