GET /api/v0.1/hansard/entries/1440362/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440362,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440362/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Namuunga mkono mdhamini wa Mswada huu. Nina Mswada wangu ambao ni mzuri sana. Nitauleta tuujadili kwa kuwa una vitengo tofauti tofauti vizuri. Hii ni Money Bill na inahitaji mgao ili isaidie."
}