GET /api/v0.1/hansard/entries/1440374/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440374,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440374/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa ya kuchangia Mswada huu. Nachukua nafasi kuwaombea nafasi ya pili wale watoto wetu wa kike ambao wanapata ajali ya kuwa wajawazito. Ni vyema wasiwachwe nje bali wapewe nafasi ili warudi waendeleze masomo yao. Vile vile, Mswada huu utahitaji fedha kwa sababu patahitajika majengo ya kutumika kuangalia watoto katika shule hizo. Mswada utachukuwa muda mrefu sana ndiyo upitishwe. Mhe. Zamzam alileta Mswada ambao utarahisisha shughuli za kuwalinda watoto wetu wa kike, lakini Mswada huo umekaa tu pale Table Office . Hauletwi hapa. Sioni tatizo liko wapi ilhali umependekeza njia rahisi ya kusaidia watoto wetu wa kike. Mhe. Zamzam ameonyesha moyo kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}