GET /api/v0.1/hansard/entries/1440375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1440375,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1440375/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "kuwasaidia watoto zaidi ya 350 waliopata ujauzito kule katika Kaunti ya Mombasa. Tunaomba huo Mswada wake uharakishwe. Vile vile, watoto wetu wa kike mjisitiri msije mkapata mimba za mapema kwa maana haziwasaidii. Mhe. Naibu Spika nimesimama kuunga mkono kwamba watoto wa kike wapewe second"
}