GET /api/v0.1/hansard/entries/144058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144058/?format=api",
"text_counter": 879,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(CDF) kwa kusema kwamba imekuwa ni mlolongo wa mambo marefu sana; ukitoka ofisi hii ukienda ofisi ile, unaambiwa hii ni ofisi ya DistrictDevelopment Officer, hii ni ofisi ya District Accounts Officer, unaambiwa hii ni ofisi ya mchora ramani, huyu lazima aweke hii--- Tunajua kwamba watu wengine wamefanya haya makusudi kugandamiza hali ya utumishi. Kwa hayo machache, Bw. Naibu Spika, naomba kuunga mkono."
}