GET /api/v0.1/hansard/entries/1441127/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441127,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441127/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "kipengee kilichomo. Mnataka kuongeza ushuru wa tairi, vyombo vya kupima saratani, na mashine za X-rays ambazo tayari ni gharama. Watu wataumia zaidi ikiwa vipengee hivi vitapita. Watoto wetu wanajitoa uhai kwa sababu ya depression. Asante Mhe. Spika, ninaupinga Mswada huu."
}