GET /api/v0.1/hansard/entries/1441194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441194/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kuongea juu ya vijana walioandamana wakasema wanataka kuandikwa kazi katika Serikali kulingana na utaratibu wake. Pesa zimewekwa katika Wizara ya Elimu ambapo walimu wengi wataandikwa kazi. Wale wamepewa kazi ya internship katika Wizara mbali mbali watapatiwa nafasi ya kuandikwa kazi kikamilifu."
}