GET /api/v0.1/hansard/entries/1441215/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441215,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441215/?format=api",
    "text_counter": 291,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, sijajua amesema nini, lakini nitampatia mfano tu. Nimesema wameweka kodi ya magari ya mwananchi wa kawaida kwa sababu saa hizi tunawaona wakitembea kwa ndege wakienda mikutano. Huu ni ukweli. Niko na ushahidi. Wiki mbili zilizopita, Mhe. Ichung’wah alishuka port na ndege. Niko na picha kwa simu yangu. Kwa hivyo, hawawezi kuweka kodi ya magari."
}