GET /api/v0.1/hansard/entries/1441225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441225,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441225/?format=api",
"text_counter": 301,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Gertrude Mwanyanje",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mhe. Spika. Tumeona watu wakiandamana kwa sababu ya huu Mswada wa Fedha. Hii ni kwa sababu vyombo vya kupima ugonjwa wa saratani katika mahospitali yetu vitatozwa kodi. Mambo yaliyowekwa katika Mswada huu ndiyo ninayazungumzia. Wanatuambia wametoa lakini hatujaona marekebisho yenyewe. Hadi tuyaone marekebishwa ndipo wananchi wakubali. As for"
}