GET /api/v0.1/hansard/entries/1441230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441230,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441230/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Niko na imani kuwa Eneo Bunge la Lamu Mashariki litaunganishwa na Wakenya wengine. Hivi sasa, tangu tupate Uhuru, Lamu Mashariki iko kivyake. Haijaunganishwa na Wakenya. Eneo Bunge lote hakuna hata njia moja ya lami wala grid ya kitaifa. Pesa zikipatikana, watu wangu wa Lamu Mashariki wataunganishwa na Wakenya wengine. Kuunganishwa kwa Maeneo Bunge itafanyika kwa sababu ya barabara na grid ya kitaifa. Lamu haijapata grid ya kitaifa wala barabara. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}