GET /api/v0.1/hansard/entries/1441233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441233,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441233/?format=api",
"text_counter": 309,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "waliofuzu kuwa walimu katika eneo bunge langu la Lamu Mashariki hawawezi kufanya kazi kwetu kwa sababu gharama za usafiri ni ghali kuliko mshahara. Lakini tumekubali walipwe ili Wakenya wengine waendelee. Lazima walimu waandikwe kwetu. Walioajiriwa"
}