GET /api/v0.1/hansard/entries/1441235/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441235,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441235/?format=api",
"text_counter": 311,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "ndio wanaweza kwenda kufanya kazi Lamu Mashariki. Shule zetu zingine hazina walimu wa masomo mengine kama Kemia, tangu shule zijengwe. Wakati huu ndiyo Serikali hii ina matumaini ya kupata walimu."
}