GET /api/v0.1/hansard/entries/1441692/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441692,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441692/?format=api",
"text_counter": 438,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": "Wakenya wamechoka kutozwa kodi kiholela. Hii nchi sio kwamba haina pesa. Ufisadi umekithiri katika tasisi zote hapa nchini. Ni lazima tutafute njia ya kufunga mfereji wa ufisadi. Na ufisadi uko kila mahali. Wakenya wanaona pesa zao zinatumika kiholela. Hauwezi kwenda kwa harambee na ukatoe Ksh30 milioni. Unapata mshahara wa shilingi ngapi? Ndio Wakenya wanajiuliza. Ni lazima tufunge hii milango ambayo pesa inapotea kiholela."
}