GET /api/v0.1/hansard/entries/1441693/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441693,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441693/?format=api",
    "text_counter": 439,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kaloleni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Paul Katana",
    "speaker": null,
    "content": "Wakenya hawajakataa kutoa ushuru. Tujiulize ile sheria tuliopitisha hapa ya mwaka 2023/204 ya kifedha je, tumefaulu na yale malengo ambayo tulikua nayo? Jibu ni, hatujafaulu. Nataka kumnukuu Rais William Samoei Ruto. Alisema watu waishi kadri na mapato yao. Vile vile, ni lazima hao watu wakatiwe kodi kulingana na mapato yao. Hatuwezi kuongeza kodi kila wakati na wengine wanatumia pesa hiyo kujiendeleza na wengine wanazidi kua maskini. Nasimama hapa kwa niaba ya watu wa Kaloleni kupinga Mswada huu kwa sababu hausaidii .…"
}