GET /api/v0.1/hansard/entries/1441696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441696,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441696/?format=api",
    "text_counter": 442,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
    "speaker": null,
    "content": "Kipengee kile kilikua na utata kabisa ni kuhusu ile kodi kwa mkate na mimi pia nilikubaliana nao. Mkate ni chakula ambacho kinatumiwa na watu wengi sana haswa wale wa mapato ya chini. Kwa hivyo, kwa upande huo, nilikua nakubaliana na watu wa Ganze wakisema ni lazima kodi ya mkate ipunguzwe."
}