GET /api/v0.1/hansard/entries/1441697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441697,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441697/?format=api",
    "text_counter": 443,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
    "speaker": null,
    "content": "Kodi ingine ambayo ilikua inaleta utata ni kodi ya magari. Waliniambia katika hizo jumbe walikua wananitumia kuwa ushuru wa magari ungefanya wenye magari walipe pesa nyingi sana na hiyo ilikua inaleta utata."
}