GET /api/v0.1/hansard/entries/1441698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441698,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441698/?format=api",
    "text_counter": 444,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
    "speaker": null,
    "content": "Eco Levy ambayo ilikua inapandisha kodi ya sanitary pads na diapers hiyo pia nilikubaliana na wakaazi wangu. Niliwaambia kwamba nitatumia nafasi hii yangu nihakikishe ushuru huo umeondolewe katika huu Mswada wa Fedha."
}