GET /api/v0.1/hansard/entries/1441699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441699,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441699/?format=api",
"text_counter": 445,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "Na naipongeza Kamati ya Idara ya Fedha na Mipango ya Kitaifa ya Bunge ambayo ilikaa ikaondoa vipengele vingi ambavyo vilikua na utata. Yale mambo ambayo Serikali imepanga kufanya katika maeneo bunge yetu kwa mwaka huu wa kiserikali unaokuja ni mengi, na Wabunge wote wanastahili kuyapigia upatu. Kwa mara ya kwanza, tunaona kuwa mgao wa"
}