GET /api/v0.1/hansard/entries/1441701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441701/?format=api",
"text_counter": 447,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "umeongezeka kwa kiwango cha milioni 30. Pia, kwa mara ya kwanza, tumeona kila eneo bunge likipata mgao wa usambazaji wa stima. Tumeona pia kwa mara ya kwanza kaunti zetu zikipewa takriban bilioni 15 za ziada, na hii yote ni pesa ambayo itapeleka maendeleo kule nyanjani."
}