GET /api/v0.1/hansard/entries/1441702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1441702,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441702/?format=api",
"text_counter": 448,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "Kufikia sasa, yale mambo yaliyokuwa na utata katika huu Mswada yanaonekana kurekebishwa. Kwa niaba ya wakaazi wa Ganze ambao wanapenda maendeleo, tunafurahia kwamba tutapata stima na pia shule zetu nyingi bado zina wanafunzi wanaosoma chini ya miti, na pia kuna wanafunzi wengi wanaosoma katika madarasa ambayo yamejengwa kwa udongo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}