GET /api/v0.1/hansard/entries/1441703/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1441703,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1441703/?format=api",
    "text_counter": 449,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
    "speaker": null,
    "content": "Hii inamaanisha kwamba tukipata mgao wa NG-CDF zaidi, tutawashughulikia hao wanafunzi ili waweze kupata mazingira mazuri ya kusoma. Pia, inamaanisha kuwa bursary zetu zitaongezeka na wanafunzi wengi wataenda shule. Nikisimama hapa, naunga mkono Mswada huu wa Fedha wa 2024, na pia naunga mkono marekebisho yale Kamati imeleta Bungeni. Nina imani tukiwa Wabunge hapa, tuko katika forum sahihi kuleta mabadiliko zaidi. Kwa hivyo, hata wale wajumbe wenzangu ambao bado wana shida na huu Mswada, nafikiri hii ndio forum ya kuleta amendments ambazo wanafikiri ziko sawa ili tuuboreshe Mswada huu ili uwe nzuri zaidi na tupeleke nchi yetu mbele. Kwa hayo machache, naunga mkono lakini na marekebisho. Ahsante."
}